BUSINESS CONSULTING FIRM

Pages

Sunday, 15 January 2017

 
 
Screen printing festival ni tamasha litakalohusisha mafunzo kuprint kofia, tshirts, logo n.k lakini litahusisha maonyesho kwa wajasiriamali wadogo wadogo wanaofanya kazi za screen printing.
.
.
Gharama ya mafunzo ni shilingi 30,000 mafunzo yataendeshwa kwa mda wa siku tatu kwa vitendo, pia wahudhuriaji watafundishwa mambo ya ujasiriamali kama namna ya kuanzisha biashara, kukuza biashara, kutafuta masoko na mengine mengi; Ni kuanzia Tarehe 6 february mpaka tarehe 8 february pale ukumbi wa vijana Mwananyamala.
.
.
Kushiriki maonyesho thibitisha kupitia blogsite hapo juu nenda sehemu ya register ujiandikishe au piga 0717 92 29 02 pia watakaoshiriki maonyesho watakua na semina yao ya siku moja wakipewa ushauri wa biashara na wataalamu watakaokuwepo juu ya changamoto za biashara.
.
.
Faida
Wahudhuriaji wataweza kupata ujuzi wa kuchapisha t shirt, logo, kofia na kufanya chanzo cha mapato katika wakati wa sasa ambao ujuzi unambeba kijana..pia wahudhuriaji kwenye mafunzo na maonyesho wataandikishwa na kupewa consultancy (investment, marketing and development) na wataalamu kutoka MEJA BUSINESS SERVICES AND AGENCY LTD bure mwaka mzima. 
.
.
Kwa maelezo zaidi piga 0717 922902 kwa mratibu,  mafunzo hayabagui jinsia wala umri nyote mnakaribishwa.