Screen printing festival ni tamasha
litakalohusisha mafunzo kuprint kofia, tshirts, logo n.k lakini
litahusisha maonyesho kwa wajasiriamali wadogo wadogo wanaofanya kazi za
screen printing.
.
.
Gharama
ya mafunzo ni shilingi 30,000 mafunzo yataendeshwa kwa mda wa siku tatu
kwa vitendo, pia wahudhuriaji watafundishwa mambo ya ujasiriamali kama
namna ya kuanzisha biashara, kukuza biashara, kutafuta masoko na mengine
mengi; Ni kuanzia Tarehe 6 february mpaka tarehe 8 february pale ukumbi
wa vijana Mwananyamala.
.
.
Kushiriki
maonyesho thibitisha kupitia blogsite hapo juu nenda sehemu ya register
ujiandikishe au piga 0717 92 29 02 pia watakaoshiriki maonyesho watakua
na semina yao ya siku moja wakipewa ushauri wa biashara na wataalamu
watakaokuwepo juu ya changamoto za biashara.
.
.
Faida
Wahudhuriaji
wataweza kupata ujuzi wa kuchapisha t shirt, logo, kofia na kufanya
chanzo cha mapato katika wakati wa sasa ambao ujuzi unambeba kijana..pia
wahudhuriaji kwenye mafunzo na maonyesho wataandikishwa na kupewa
consultancy (investment, marketing and development) na wataalamu kutoka
MEJA BUSINESS SERVICES AND AGENCY LTD bure mwaka mzima.
.
.
Kwa maelezo zaidi piga 0717 922902 kwa mratibu, mafunzo hayabagui jinsia wala umri nyote mnakaribishwa.